Mshambuliaji ghali wa Manchester United Romelu Lukaku huenda akafungiwa kutocheza mechi tatu mfululizo endapo atakutwa na hatia baada ya kuonekana akimpiga teke beki wa timu ya Brighton, Gaetan Bong.
Endapo Lukaku atakutwa na hatia huenda akafungiwa kutocheza mechi tatu. Moja kati ya mechi hizo ni ile ya watani wa jadi kati ya Manchester United na Manchester city.
Maoni
Chapisha Maoni