Usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Valencia mambo yalikuwa magumu kwa FC Barcelona baada ya kulazimisha sare ya bao moja kwa moja.
Pia mshambuliaji hatari wa FC Barcelona alifunga bao ambalo lilikataliwa na waamuzi wa mchezo huo.
Bao la pekee lililo fungwa na FC Barcelona lilifungwa na beki wa timu hiyo Jord Alba ambaye pia aliwahi kuichezea Valencia baada ya kupewa pasi kutoka kwa Lionel Messi.
Maoni
Chapisha Maoni