Wachezaji wa timu ya Fc Barcelona akiwemo Lionel Messi, wametuma maombi kwa rais wa Klabu hiyo amsajili mchezaji wa Liverpool Philippe Coutinho katika usajili wa majira ya baridi Januari.
Klabu hiyo ya Catalan ilijaribu kumsajili mchezaji huyo katika dirisha la usajili lililopita lakini Liverpool walisisitiza kuwa mchezaji huyo hauzwi.
Bei inayotabiriwa ni €133 million lakini inaweza kuwa zaidi ya hapo
Maoni
Chapisha Maoni