Bakayoko ameshindwa kuonyesha kile kilichotarajiwa kutoka kwake ingawa mchango wake kwenye timu bado ni muhimu, na Kante amemba Mfaransa huyo asaidiwe
Kiungo wa Chelsea N'Golo Kante amesema kuwa timu yake ina jukumu la kumsaidia mchezaji mwenzao Tiemoue Bakayoko anapoendelea kuzoea maisha ya Ligi Kuu Uingereza.
Mfaransa Bakayoko, anahangaika kuonyesha tofauti Chelsea tangu atue London akitokea Monaco kwa £40m, alitolewa kipindi cha pili klabu hiyo ikifungwa 1-0 na West Ham Jumamosi
Uongozi wa timu ya Arsenal wamemgeukia meneja wao, Arsene Wenger na kuanza kuorodhesha majina mbadala kuchukua nafasi yake. Wenger anasema "atapindua dunia chini juu" ilikubaki kama meneja wa Arsenal Kazi yake katika timu hiyo iliwekwa utatani wakati alipokataa kudhibitsha kama ataendelea na mkataba wake unaoisha 2019. (Mirror) Aliyekuwa rais wa timu ya Barcelona Joan Laporta, amesema anawahimiza Arsenal kumfikiria Thierry Henry kama mbadala wa Wenger.(Telegraph)
Maoni
Chapisha Maoni