Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Beki mwingine ghali kujiunga na Man City.

Athletic Bilbao imethibitisha kwamba Manchester City imewasilisha ada kwa ajili ya kuvunja mkataba  wa Mfaransa Aymeric Laporte, ikiaminika kuwa wenye thamani ya € 65m. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 atajiunga na kikosi cha Pep Guardiola mwishoni mwa wiki hii.

Maoni