Mkwaju wa faulo wa moja kwa moja kutoka kwa Lionel Messi dhidi ya Alaves siku ya Jumapili uliipa Barcelona ushindi wa 2-1, na pia ulimfanya mchezaji huyo wa Argentina kumzidi hasimu wake Cristiano Ronaldo kwa kufunga mikwaju mingi ya faulo.
Mechi ya Jumapili ilikuwa ni hatua nyingine muhimu kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 ambaye alicheza mchezo wake wa 200 Camp Nou.
Maoni
Chapisha Maoni