Imeripotiwa kuwa Real Madrid wamefikia maamuzi ya kumlipa Cristiano Ronaldo ujira wa paundi £600,000 kwa wiki
Katika nusu ya kwanza ya msimu, Ronaldo amefunga mara nne tu kwenye michuano ya La Liga na ameendelea kuhusishwa na tetesi za kutaka kujiunga na aidha Manchester United au Paris Saint-Germain.
Hata hivyo, kwa mujibu wa Corriere Dello Sport, Real bado wanatamani kuendelea kumbakishia Ronaldo Bernabeu na wamejipanga kuupandisha mshahara wake kuwa sawa na wa Lionel Messi wa Barcelona na Neymar wa Paris Saint-Germain.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 sasa bado amebakiwa na miaka minne na nusu kwenye mkataba wake, lakini Real wanaamini kumwongeza dau mchezaji huyo ku
Maoni
Chapisha Maoni