Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Liverpool wajiweka nafasi ya pili Ligi Kuu England

Liverpool imeshinda dhidi West Ham united 4 :1 leo Jumamosi Liverpool Wakiwa nyumbani katika uwanja wao wa Anfield.

Pande zote mbili zilipigiana mikwaju na mashuti makali katika wa dakika 15 za kwanza kabla ya Emre
Kuweza kuvunja ukimya kwa kichwa cha karibu na goli, akiifungia Liverpool goli la 100 msimu huu katika mashindano yote.

Kipindi cha pili kilikuwa cha neema na kwa vijana wa Liverpool hasa mshambuliaji wao hatari, Mmisri Mohamed Salah ambaye alifunga goli lake la 31 msimu huu.

Lakini pia wagonga nyundo hao wa London hawakumubali kubaki nyuma baada ya mchezaji wao wa akiba Michail Antonio kuwafungia goli baada ya kutoka benchi lakini Sadio Mane ndiye aliye pigia msumari wa mwisho katika ushindi huo mnono ulio iweka Liverpool katika nafasi ya pili.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nitapindua dunia juu chini ili kubaki kama meneja wa Arsenal

Uongozi wa timu ya Arsenal wamemgeukia meneja wao, Arsene Wenger na kuanza kuorodhesha majina mbadala kuchukua nafasi yake. Wenger anasema "atapindua dunia chini juu" ilikubaki kama meneja wa Arsenal Kazi yake katika timu hiyo iliwekwa utatani wakati alipokataa kudhibitsha kama ataendelea na mkataba wake unaoisha 2019. (Mirror) Aliyekuwa rais wa timu ya Barcelona Joan Laporta, amesema anawahimiza Arsenal kumfikiria Thierry Henry kama mbadala wa Wenger.(Telegraph)

Robert Lewandowski mfungaji bora Bundesliga 2017/2018

Robert Lewandowski amemaliza msimu wa 2017/18 wa Bundesliga akiwa mfungaji bora kwa mara ya 3 kwenye maisha yake ya soka. : • 30 games • 29 goals

Je Barcelona wataweza kuvunja rekodi hizi?

Hadi sasa miamba  ya Catalunya Fc Barcelona haijapoteza mchezo hata mmoja katika ligi kuu nchini Hispania na wanaonekana wanaweza kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumaliza La Liga bila kupoteza, lakini je na haya yafuatayo wataweza? Magoli 121, Jose Mourinho msimu wa 2011/2012 alimaliza La Liga akiwa na mabao 121, hadi sasa Barcelona wana mabao 70 na itawabidi kufunga mabao 51 katika mechi zao 11 zilizobaki ili kuifikia rekodi ya Mourinho. Zamora award, hii ni tuzo ya kipa aliyefungwa mabao machache, Francisco Liano mlinda lango wa zamani wa klabu ya Sporting Gijon anashikilia rekodi ya kufungwa mabao machache zaidi La Liga, mabao 18 (1993/1994). Hadi sasa mlinda lango wa Atletico Madrid Jan Oblak ameruhusu mabao 12 katika lango lake huku golikipa wa Barcelona Marc Andre Stegen akiwa ameruhusu mabao 13 hadi sasa, na anasubiriwa kati ya hawa nani atavunja rekodi ya Liano. Real Sociedad record, Barcelona hawajapoteza katika michezo 32 ya La Liga na wamevunja rekodi ya Pep G...