Roma wangeweza kuishinikiza Liverpool katika mpango wa kumnunua Mohamed Salah kwa karibu milioni 50, Monchi anakubali kuwa bei hiyo "ingekuwa bora".
Mkurugenzi wa klabu Roma, Monchi aliiambia Sky Sport Italia juu ya makubaliano ya Salah: "Mwishoni mwa maongezi , tungeweza kufikia € 50m pamoja na bonuses, lakini wakati huo tulipaswa kuuza na hiyo ilikuwa chaguo muhimu.
"uhamisho wa Neymar na Kylian Mbappe ulileta mabadiliko ya soko, lakini wakati huo ilikuwa muhimu kwa sisi kumuuza.
Salah alisajiliwa na Liverpool kwa ada ya 32 milioni pamoja na bonus 3 milioni.
Maoni
Chapisha Maoni