Christian Eriksen aliifungia mara mbili Tottenham na kuisaidia timu yake kutinga fainali za Kombe la FA kwa msimu wa pili mfululizo katika Uwanja wa Liberty dhidi ya Swansea.
Magoli ya kipindi cha kwa ya Eriksen na Erik Lamela yameweka Spurs kwenye njia nzuri ya kushinda taji lao la tisa la FA.
Katika kipindi cha pili Eriksen alihitimisha karamu hio ya ushindi kwa kufunga goli katika dakika ya 62 ya mchezo.
Spurs wanatafuta taji la kwanza tangu waliposhinda Kombe la Ligi ya 2008.
Maoni
Chapisha Maoni