Kiungo mkongwe wa Fc Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Andrés Iniesta ameripotiwa kufikia makubaliano na klabu ya Tianjin Quanjian kutoka China kuanzia msimu ujao.
Iniesta anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu ambao utamfanya alipwe kiasi cha €37m sawa na zaidi ya bilioni 103 kila mwaka baada ya kodi.
Maoni
Chapisha Maoni